Mfumo wa Ofisi Mtandao (GeOS)
Mfumo wa Ofisi Mtandao (GeOS
Mfumo wa Ofisi Mtandao umetengenezwa ili kuwezesha na kurahisisha shughuli za utawala za kila siku ndani ya Serikali. Shughuli hizo zinahusu mzunguko wa mafaili na nyaraka ndani na miongoni mwa taasisi za umma.
Usanifu na Utengenezaji: Mamlaka ya Serikali Mtandao kwa ushirikiano na Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa.
Usimamizi: Unasimamiwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao na Unaendeshwa na Taasisi husika kwa kuongozwa na Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa.
Tumia mfumo